Distance Learning

Create an Edmodo Student Account

Login to Edmodo

 

Kuingia kwenye mtandao wa Edmodo

 

Students need to create their own, individual Edmodo accounts by using their first and last names. Students will be able to create and use their accounts independently, although younger students may need adult support.

 

​ Wanafunzi wanahitaji kutengeneza akaunti zao, akaunti za Edmodo za kibinafsi kwa kutumia majina yao ya kwanza na ya mwisho. Wanafunzi wataweza kutengeneza na kutumia akaunti zao kwa kujitegemea, ingawa wanafunzi wenye umri mdogo wanaweza kuhitaji msaada wa watu wazima.

 

Click on the link below to view a guide to help you to create your student account or view the videos below.

 

Bonyeza kwenye kiunga kilichopo hapo chini ili kuona mwongozo wa kukusaidia kutengeneza akaunti yako ya mwanafunzi au kutazama video hapo chini.

 

Edmodo can be accessed on any device via the following website:

www.edmodo.com

Edmodo inaweza kupatikana kwenye kifaa chochote kupitia tovuti ifuatayo:

www.edmodo.com

How to Create a Primary School Student Account 

How to Create a Secondary School Student Account